Hahahahahahahahaha
Unacheka nini Ruttashobolwa ?,mi ndio namsikia huyo kiumbe babuu(star),nisaidie kuniambia ni nani.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahahaha
TID mchokozi sana. kuna kipindi alikua akipiga live band pale bills, tulipishana naenda zangu maliwatoni akanipiga kifua. Mi nikajua bahati mbaya! nikamwambia samahani, eti akasimama akanambia, 'unanikazia msuli?' ikabidi niondoke zangu, ile napiga hatua akanikwatua kwa nyuma. nlishangaa sana!. tungekua maisha club au sehemu nyingine lazima ningemfanyizia. mia
hahahaaaa...!!. mara nyingi fujo anafanyia bills tu au kweny shughuli binafsi za kuparty. miaAnachagua wa kuwafanyia hivyo...Wallah Yakhe siku yake akijishaua kuingia kwenye angle yangu ntannyoosha naapa.
Miaka yangu 9 ya kuwa hospitali sijawahi kushuhudia 'nundu ya pua'...si kwa ajali wala magomvi!
Miaka yangu 9 ya kuwa hospitali sijawahi kushuhudia 'nundu ya pua'...si kwa ajali wala magomvi!
Hivi leo nisiku gani na nipo jukwaa gani mitungi ya jana hata sijui mimi ninani!