TID atukana hewani (via Clouds FM)

Nimemsikia TID akitukana live!, Kiukweli alipofungwa jela nilimhurumia sana nikijiaminisha ilikuwa ni bahati mbaya,nilipomsikia leo three times akirudia kutukana, ndipo nikagundua kumbe ile kwenda jela sio bahati mbaya he deserved it!. Kuna mtu huwezi kumjua ni empy kabisa upstairs mpaka unapo mwaga utumbo!. TID ni zaidi ya debe tupu!.
 
Ila nao wamezid kufuatilia pravate life za watu. Wao wana usafi gani? Mbona twajua wengine mashoga. Sasa mbona wanafatilia ya wenzao. Wajisafishe kwanza sio kupata umaarufu kwa kuhoji watu maswali yasiyo na staha.
 
Ila kiukweli kuishi na mtu kama T.I.D kunaitaji moyo ni mtu ambaye hata akikukanyaga usiseme ukimwambia umenikanyaga mtagombana
 
kosa la T.I.D hapo ni kutumia lugha ya matusi, lakini kosa kubwa zaidi limefanywa na hao klaudz kwa kuyarusha hayo matusi hewani..
 
Me nina wasiwasi na watangazi wa Clouds radio coz wanaongea kisenge senge na majungu mengi kama wanawake alafu wanapenda sana kuchochea mambo ya kijinga, bora kawajibu live waache ujinga kabisa!

Dah hv aliyekubeba 2mboni miez 9 yupo ktk hlo kundi ulilosema hapo juu,Kamtake radhi aisee.
 
Alimuuliza kuwa eti ilikuwaje hakwenda kwny msiba wa kanumba kwakuwa alikuwa ametaitiwa na demu wa kitasha home TID akafunguka akamwambia aache useng* wake kama naye anataka atamf*ra mpaka mk**nd* wake utoboke
 
Clouds wajinga n kibonde wao bora kawapondea live walikuwa wanatak hvyoo thn wanze kumtafutia habr
 
Roho Inauma sana...yaani dogo hajifunzi tu jamani au ndio gym linampa kiburi? au atakuwa kawekwa ndani na jimama kigogo? au na yeye ni boflo? wahenga wanasema aisifue mvua jua imemnyea........
 
kosa ni clouds kurusha live wangekuwa wanaangalia akili za wa2 wa kuwarusha live.mbona redio station nyingi hata m2 akitukana wanaedit kabla ya kurusha hewani?inatakiwa warecord kwa hata dk 5 waedit.pumba wamwage mchele waurushe hewani
 
Kile ki-Segment cha yule Dogo Soud Brown>>
"YOU HEARD" kimekaa KI-NYWANYWI NYWANYWI SAAANA.. Kama Hujatuliza Mlege waweza-pigana.

Maana anaanza "Tiiiiiili tilitilitiii...x4 (Siiiiri imefichuka...4)kisha WALE WA GOSSIP... WALE WA GOSSIP... baaada ya hapo ETI ETI ETI... inaudhi sana kama anaku-interview ww maana anapiga za chini ya BELT...
 
kwani hata clouse si ni kawaida yao kutukana hawataki na wao kutukanwa? Usipojihem unategemea nani atakuhemu?

Hapo umeongea...clouds wenyewe hawana ethics za kitangazaji hasa hicho kipind chao cha xxl, hata ningekuwa mimi ningewatukana tena matusi makubwa tu.....afu sio mara ya kwanza kumfatafata t.i.d....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…