Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Nimemsikia TID akitukana live!, Kiukweli alipofungwa jela nilimhurumia sana nikijiaminisha ilikuwa ni bahati mbaya,nilipomsikia leo three times akirudia kutukana, ndipo nikagundua kumbe ile kwenda jela sio bahati mbaya he deserved it!. Kuna mtu huwezi kumjua ni empy kabisa upstairs mpaka unapo mwaga utumbo!. TID ni zaidi ya debe tupu!.