Malalamiko mengine inakuwa vigumu kuyaelewa. Si angeweza kuajiri mwanasheria akawaandikia barua anaowadai na kuwapa muda wa kumlipa hayo mamilioni la sivyo anawaburuza mahakamani. Kule kuandika kwenye instagram kwamba ni marufuku kuonyesha filamu yake ndiyo kutawafanya wadaiwa wake wamlipe?View attachment 1029917
Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Tanzania T.I.D a.k.a TOP a.k.a Warioba A.k.A BASATA a.k.a POWER BANK leo kupitia instagram yake amwaga povu kali kiwango cha grisi kutoka kwa Azam TV baada ya kurusha filamu yake ya Girlfriend bila ya kibali maalumu.
Maneno yake yanasomeka kama ifuatavy
- tidmusic
Tangazo Tangazo.......Ni Marukufu kwa Azam TV Kuonyesha Filamu ya Girlfriend popote pale bila kunilipa Haki zangu,Sioni Sababu ya kuendelea Kuibiwa Haki Zangu,Nawadai Milioni mia (300) kwa kurusha Filamu hii bila Kunilipa wala Makubaliano ....I hate this kwanini Hamnilipi Haki Zangu!!!
Stressed Man.....sorry for him!!View attachment 1029917

Kati ya filamu Kali kuwahi kutokea Tanzania ni Girlfriend ya TID,,na hatutakuja kupata filam nzuri kama hii kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliiangalia tangu inatoka.
Uzuri wake ni upi hasa mpaka useme kuwa haijawahi kutokea nyingine kama hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu atoke selo hakuwai sawa mpaka leo.kule ndani sijui walimfanya nn?T.I.D Mnyama,Mzee kigogo,Warioba,powerbank,Basata,Tiddy madawa nahisi hayuko sawa jamaa,kuna kitu kinamzingua.
ZA ZIMBABWE.....Bora angesema MONALISA na SIo MVUTA UNGA HUYO.