TID Awapa Onyo Azam TV kucheza filamu yake ya Girlfriend. Awadai Millioni 300 kwa kukaidi.

TID Awapa Onyo Azam TV kucheza filamu yake ya Girlfriend. Awadai Millioni 300 kwa kukaidi.

Kutengeneza movie,waigizaji kuvaa uhusika and all technical issue kwenye kutengeneza movie Tanzania tunaweza..Nimeicheki hii movie mwaka jana..Trust me guys it's DOPE SHIT..[emoji95][emoji95]


#Muungwana_John
 
Ina maana Girlfriend ni filamu yake?! Au kuwa Main Character na basi tena anaona hiyo hakimiliki!
 
Tazama Girlfriend FULL movie hapa


Wabongo wajinga sana. Sasa li movie jenyewe likobyoutube ambapo tunaangalia bure au kama analipwa ni kdg sana, Afu anakaa kuwapigia kelele Azam. Au na yy alikosa tuzo za sinema zetu ndo maana anatoa povu
 
tena sio George tyson peke ake kuna watu nyuma yake wakiwa wakina Sultan Tamba Na Mwambeleko nafikiri ndio walimpa ajira TID aweze kuigiza na kutengeneza wimbo wa Girlfriend kama soundtrack wallah hizo milion mia 3 ztamtokea puani eti anasema anatoa party two yake kwa hati miliki ipi??

hii ni filamu ya George Tyson au TID? mm nilidhani TID alikuwa mwajiriwa kama alivyokuwa Monalisa
 
View attachment 1029917

Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Tanzania T.I.D a.k.a TOP a.k.a Warioba A.k.A BASATA a.k.a POWER BANK leo kupitia instagram yake amwaga povu kali kiwango cha grisi kutoka kwa Azam TV baada ya kurusha filamu yake ya Girlfriend bila ya kibali maalumu.

Maneno yake yanasomeka kama ifuatavy
  • tidmusic
    Tangazo Tangazo.......Ni Marukufu kwa Azam TV Kuonyesha Filamu ya Girlfriend popote pale bila kunilipa Haki zangu,Sioni Sababu ya kuendelea Kuibiwa Haki Zangu,Nawadai Milioni mia (300) kwa kurusha Filamu hii bila Kunilipa wala Makubaliano ....I hate this kwanini Hamnilipi Haki Zangu!!!
Swali moja tu,
Producer wa hii filamu alikua nani?
 
Kwahiyo kwa kusema hivyo ndiyo inatosha kupata hizo milioni 300?
 
Back
Top Bottom