TID Awapa Onyo Azam TV kucheza filamu yake ya Girlfriend. Awadai Millioni 300 kwa kukaidi.

Kutengeneza movie,waigizaji kuvaa uhusika and all technical issue kwenye kutengeneza movie Tanzania tunaweza..Nimeicheki hii movie mwaka jana..Trust me guys it's DOPE SHIT..[emoji95][emoji95]

#Muungwana_John
 
T.I.D Mnyama,Mzee kigogo,Warioba,powerbank,Basata,Tiddy madawa nahisi hayuko sawa jamaa,kuna kitu kinamzingua.

Umesahau A.k.a moja MZEE MPUMBAVU


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ina maana Girlfriend ni filamu yake?! Au kuwa Main Character na basi tena anaona hiyo hakimiliki!
 
Hahaha sasa hiyo Film ni ya kwake au ya marehemu director Tyson ...aache mawenge aise ... yeye alilipwa pesa kama mshirika tu na wala siye mwenye hati miliki ... haki yake iliishia pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena sema alilipwa kama Mshiriki tu manake Mshirika ina hadhi kubwa sana kibiashara!
 
Tazama Girlfriend FULL movie hapa

Wabongo wajinga sana. Sasa li movie jenyewe likobyoutube ambapo tunaangalia bure au kama analipwa ni kdg sana, Afu anakaa kuwapigia kelele Azam. Au na yy alikosa tuzo za sinema zetu ndo maana anatoa povu
 
tena sio George tyson peke ake kuna watu nyuma yake wakiwa wakina Sultan Tamba Na Mwambeleko nafikiri ndio walimpa ajira TID aweze kuigiza na kutengeneza wimbo wa Girlfriend kama soundtrack wallah hizo milion mia 3 ztamtokea puani eti anasema anatoa party two yake kwa hati miliki ipi??

hii ni filamu ya George Tyson au TID? mm nilidhani TID alikuwa mwajiriwa kama alivyokuwa Monalisa
 
Swali moja tu,
Producer wa hii filamu alikua nani?
 
Kwahiyo kwa kusema hivyo ndiyo inatosha kupata hizo milioni 300?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…