TID: Diamond naye wanataka kumuua, sijui wanataka kumuweka nani

TID: Diamond naye wanataka kumuua, sijui wanataka kumuweka nani

Mbona hasemi ye alikosea wapi?

[HASHTAG]#kamweusimwaminiteja[/HASHTAG] ni mtazamo tuu
 
Tatizo wakiwa wanabebwa na hao Clouds hawatuambii ila wakiwa wanashushwa ndio utawasikia,wasanii ni wapuuzi wa kiwango cha lami.
 
Wakati anapandishwa alilalamika?
Huu unafiki utaisha lini?

Wakiwa wanapendelewa clouds panakua kama nyumbani kwao ila wakipigwa chini kelele nyiiiingi!

Kuhamisha matatizo yako kwa mtu mwingine haijawahi kuwa suluhusho la matatizo yako!
 
Wasanii wengi wanailalamikia CMG utazani wao ni miungu mbona Diamond na WCB wanakaribia mwaka hawajapewa promo na wanafanya vizuri. Fanya kazi kwa bidii, kuwa mbunifu ninauhakika hata hao wanaokubania Kuna siku wataomba yaishe. Mfano Shigongo kamponda Diamond baada ya mwaka jana kumchomolea kumtumia harmonize kwa pesa mbuzi, leo hii Shigongo mwenyewe katengua kauli yake, kaongea na WCB na hatimaye idd pili harmonize anapiga show dar live, issue kujiamini na kujituma na ukisema hufeli basi hutafeli kweli.
 
Monopoly ya Clouds Media imerudisha sana nyuma Muziki wa Tanzania.....
Nchi hii kuna redio zaidi ya 100 unasemaje kuna monopoly? Hakuna monopoly kwenye redio stations Tanzania unless maana ya monopoly imekupita kushoto.
 
Nchi hii kuna redio zaidi ya 100 unasemaje kuna monopoly? Hakuna monopoly kwenye redio stations Tanzania unless maana ya monopoly imekupita kushoto.
Mkuu si lazima ujue kila kitu, Monopoly inaweza sababishwa na coverage na namba ya wasikilizaji... Hadi sasa Clouds ina zaid ya 60% ya listener wote wa radio bongo....
Au Monopoly unaelewa kipi....
And yet Clouds ndio radio Pekee yenye vipindi vingi vya Bongoflava ukijumlisha na fiesta..kiufupi nguvu Yao si ya kubeza..
 
Redio nyingine zimeshindwa nini kufanya hivyo au hawataki wasikilizaji?
TID kafa kifo cha kawaida cha muda kama alivyokufa Q chief ambaye naye wakati Diamond anaanza kushine alikuwa anadai eti diamond ndiye anamroga anatembelea nyota yake.
TID alianza kudata muda tu kipindi wanaitwa interview na hao hao clouds wanaongea pumba na mwenzangu marehemu Mangwair mara oh hizi suti zimepanda ndege toka Thailand hatuvai suti za kariakoo, mara oh wale watoto ni chawa tu.
Jamaa ana majivuno muda tu hana nidhamu sometimes hata kwenye interview anatukana.
Inshort ni kwamba raia zimeacha kumuelewa tu hata aimbe nini hazimwelewi tu.
Kipaji bila nidhamu ni bure, Baraka the Prince yu wapi sasa naye hakudumu kwakuwa hakuwa na niidhamu.
 
Mkuu sio media ila connections alizonazo Mkurugenzi ndo zinazoweza kumuua msanii kama alikua hajajipanga vyema ila ukishatoboa hata jiwe hawezi kukushusha
 
Nchi hii kuna redio zaidi ya 100 unasemaje kuna monopoly? Hakuna monopoly kwenye redio stations Tanzania unless maana ya monopoly imekupita kushoto.
Hivi ulifundishwa kwamba Monopoly ni mpaka kuwe hakuna Radio kabisa eeh ???
Teh teh teh teh , kazii kweli kweliiiii.......
 
Bongo madawa hafu tumia izo drugs ukiwa na elimu nazo diet kwa sana hakuna yani usela mavi tu still unataka media iko pull up, Huo ni Ujinga Na Mchawi wa bongo apa ni drugs mtoto mdogo kama young dee nae ana.mokaa
 
Hivi ulifundishwa kwamba Monopoly ni mpaka kuwe hakuna Radio kabisa eeh ???
Teh teh teh teh , kazii kweli kweliiiii.......
Mkuu kama hutojali tueleze kwa kirefu mana ya monopoly and kivipi ime contribute kudidimiza bongo flavor
 
Back
Top Bottom