MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nchi hii kuna redio zaidi ya 100 unasemaje kuna monopoly? Hakuna monopoly kwenye redio stations Tanzania unless maana ya monopoly imekupita kushoto.Monopoly ya Clouds Media imerudisha sana nyuma Muziki wa Tanzania.....
Mkuu si lazima ujue kila kitu, Monopoly inaweza sababishwa na coverage na namba ya wasikilizaji... Hadi sasa Clouds ina zaid ya 60% ya listener wote wa radio bongo....Nchi hii kuna redio zaidi ya 100 unasemaje kuna monopoly? Hakuna monopoly kwenye redio stations Tanzania unless maana ya monopoly imekupita kushoto.
Redio nyingine zimeshindwa nini kufanya hivyo au hawataki wasikilizaji?Mkuu si lazima ujue kila kitu, Monopoly inaweza sababishwa na coverage na namba ya wasikilizaji... Hadi sasa Clouds ina zaid ya 60% ya listener wote wa radio bongo....
Au Monopoly unaelewa kipi....
And yet Clouds ndio radio Pekee yenye vipindi vingi vya Bongoflava ukijumlisha na fiesta..kiufupi nguvu Yao si ya kubeza..
Hivi ulifundishwa kwamba Monopoly ni mpaka kuwe hakuna Radio kabisa eeh ???Nchi hii kuna redio zaidi ya 100 unasemaje kuna monopoly? Hakuna monopoly kwenye redio stations Tanzania unless maana ya monopoly imekupita kushoto.
Mkuu kama hutojali tueleze kwa kirefu mana ya monopoly and kivipi ime contribute kudidimiza bongo flavorHivi ulifundishwa kwamba Monopoly ni mpaka kuwe hakuna Radio kabisa eeh ???
Teh teh teh teh , kazii kweli kweliiiii.......