Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jun 22, 2019 #101 hearly said: Yaani tena. .sikia tu hiyo situation isikukute ''Iache tu imkute mwenzio Click to expand... Kikifika kipindi hicho mtu anaishi kama digidigi
hearly said: Yaani tena. .sikia tu hiyo situation isikukute ''Iache tu imkute mwenzio Click to expand... Kikifika kipindi hicho mtu anaishi kama digidigi
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,443 Reaction score 3,002 Jun 22, 2019 #102 hearly said: Hahaha Yeye kalewa halafu anapigana na wasiolewa --- Halafu mbona huo ni mtaa wa kwao ina maana hakuna hata aliye jitokeza kum-gombelezea. .?!!!...Dah! !ama kweli maradhi yote ugua lakini kuchacha usiombee Click to expand... mkuu huo mtaa wahuni wengi...hakuna kuamuliwa
hearly said: Hahaha Yeye kalewa halafu anapigana na wasiolewa --- Halafu mbona huo ni mtaa wa kwao ina maana hakuna hata aliye jitokeza kum-gombelezea. .?!!!...Dah! !ama kweli maradhi yote ugua lakini kuchacha usiombee Click to expand... mkuu huo mtaa wahuni wengi...hakuna kuamuliwa
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Jun 22, 2019 #103 Daah jamaa wame vurugwa aise B'REAL said: mkuu huo mtaa wahuni wengi...hakuna kuamuliwa Click to expand...
Daah jamaa wame vurugwa aise B'REAL said: mkuu huo mtaa wahuni wengi...hakuna kuamuliwa Click to expand...
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jun 22, 2019 #104 africansongs said: Habarini wadau? Ndugu TID naona mambo si mambo, na anaonekana yuko tungi balaa. Je ni frustrations ama? View attachment 1132497 Click to expand... Kazi ipo amepigwa mtama kutoka Top In Dar mpaka Bottom In Dar, kweli pombe haijawahi kuwa rafiki wa busara
africansongs said: Habarini wadau? Ndugu TID naona mambo si mambo, na anaonekana yuko tungi balaa. Je ni frustrations ama? View attachment 1132497 Click to expand... Kazi ipo amepigwa mtama kutoka Top In Dar mpaka Bottom In Dar, kweli pombe haijawahi kuwa rafiki wa busara
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 22, 2019 #105 Inasikitisha sana... Amejiaibisha sana... Cc: mahondaw