TID - hizi ni frustrations ama?

TID - hizi ni frustrations ama?

RUKA KAMA NINJA TUA KAMA NDEGE.......

1132539
 
Wapuzz
TID ameshindwa tumia nafasi yke vzr
Ila bonge la msaniii
Kuna siku kalapina alimpiga Bila wadau kutokea na kumzuia angemumiza
Alafu wale Wana ka undugu
Sema TID ana mdomo mchafu
Kupigwa lzima

Ova
Ilitokea lini hii mkuu? What happened? Mwaga nondoz
 
Huyo mchukua video sasa utadhani alikuwa juu ya trekta kasimamia mguu m'moja.

Sasa anachukuaje video hivyo, na hakuwa na sababu ya kukwepesha kamera. Amenikera ningemkuta na yeye ningemkung'uta.
Aisee nimecheka kwa nguvu mbele za watu, JF kiboko
 
Hayo mambo ya ngumi sifagilii kabisa. Unaweza kuchomwa kisu kimoja tu kama yule msanii mwingine....utumbo kulee...
 
Huyu mnyama bhana, kumbe Kiswahili anakijua fresh tu...!!
 
Au ni KIKI ili apate intavyuu..!! [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom