Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Naishauri serikali iandae kitengo maalumu cha wana saikolojia ili kuweza kuwasaidia wasanii pindi watakapokuwa juu na watakaposhuka.Ona sasa mtu ambaye alikuwa role model kwa vijana leo anakuwa hivi kweli? Pia serikali hiyo hiyo iandae mazingira mazuri kwa wasanii ili wasiweze tapeliwa pesa zao maana wapigaji wa kazzi za wasanii ndio hupelekea mambo yote haya.Alivuma wakati huo lakini hakuna alichopata na badala yake meneja ndo alinufaika.Msaada huu wa serikali usiwe wa kwenye vyombo vya habari tuu bali uwe na uhalisia.