TID - hizi ni frustrations ama?

TID - hizi ni frustrations ama?

Dasilamu watu hawana muda, kuna mwana alikuwa anatobolewa macho watu kando yake wanakula chips tu.... hapo wanacheka na kurekodi kideo tu.
Naam kweli kabisa. .juzi siamepigwa kisu yule binti wa chuo mpaka akafikwa na umauti. .mijitu ipo tu
 
aisee nimeshangaa maana mitaa naijua hiyo, ugua maradhi yote ila sio kukosa hela nishawah kudhalilika sana kwa ndugu kisa sina hela, huwez pata msaada wowote....
Sio tu msaada, kuna mambo ambayo ukifanya utaonekana sio ukiwa huna hela ila ukiwa nazo watu wanakuvalia mawani ya bati tu. The first time naanza kuweka kamba shingoni nilipewa angalizo kuwa zile vitu wanavaa mashoga, ila kaka mkubwa aliekulaga shavu Tixx alikuwa anazitupa za gold kabisa. Haambiwi kitu.
 
hehehe kweli aisee
 
Comments za baadhi yawachangiaji mbn nanyi km mna stress jamani😅😅😅!naona km mnafarijiana TID amechoka kifweza na nyie mko juu...lol....!

Naupendaga wimbo wa Upendo Nkone...

Usifurahi ndugu yangu ewe rafiki yanguuu.. niangukapo mm nitasimama tenaaa...!
 
Back
Top Bottom