TID kumburuza Steve Nyerere mahakamani

TID kumburuza Steve Nyerere mahakamani

Uwezo wa kufungua kesi hana labda adhaminiwe na DB
 
Msanii TID amepanga kumfikisha msanii mwenzake Steven Nyerere mahakamani akimtuhumu kumchafua kuwa amepewa hela na Makonda kwenye clip iliyosambaa mitandaoni


Asionekane tu ana bulungutu la ghafla kwenye simu, akaunti ya benki au ana unafuu wa maisha.
 
TID ni kati ya wasanii ninaopendaga kuwasikia wakihojiwa....anajiongelea katika level za kufikirika,level za kina Usher na R.Kelly kama sio Chriss Brown! Ngada hukupa taswira tofauti kabisa kiukweli.....TID kila dk yupo high!
 
Daudi Bashite anapumulia machine, labda John hawasaliti wananchi tu. Maana uwezo huo anao. Lakini huyu Bashite chenga tu
 
Back
Top Bottom