Msanii TID amepanga kumfikisha msanii mwenzake Steven Nyerere mahakamani akimtuhumu kumchafua kuwa amepewa hela na Makonda kwenye clip iliyosambaa mitandaoni
TID ni kati ya wasanii ninaopendaga kuwasikia wakihojiwa....anajiongelea katika level za kufikirika,level za kina Usher na R.Kelly kama sio Chriss Brown! Ngada hukupa taswira tofauti kabisa kiukweli.....TID kila dk yupo high!