Tid kutukana kwenye redio we... Ulimkaza zamani ulikuwa na maana gani we mhuni

Tid kutukana kwenye redio we... Ulimkaza zamani ulikuwa na maana gani we mhuni

ile ni redio ya wahuni watangazaji wake wote wanaropoka maneno ya hovyo wakiongozwa na kipind cha jahaz, pb, xxl leo tena wajinga sana hasa kibonde, mchomvu na wengine wengi ctawataja mnajijua, redio huwezi kusikiliza ukiwa na wazazi
 
Ni redio ya wahuni ndiomaana wanaentertain uhuni na matusi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukistaajabu ya mussa..kuna kipindi clouds tv alihojiwa kwakupigiwa simu live..akasema>>maswali ya kise,,nge..unamuuliza nani,,??ayo mambo ya kise,,nge waulize wase,,,<<< simu ikakatwa////nadhani alipigiwa wakat mbaya,,unga chapa azam ulikua umekwiva kwenye sigda yake
 
hii RADIO inasikilizwa SANA..tena kwa UMAKINI...
 
Clouds huwa nasikiliza vipindi 2 tu.
Easy Sunday - Kwasababu kunapigwa nyimbo ninazozipenda
Njia Panda - Wakati mwingine kuna stori nzuri hivi japo maneno meeengi (Sasa humu ndio kuna watu huwa wanateleza na maneno mpaka raha, kuna jamaa mmoja alikuwa teja siku moja alikuwa anahojiwa akasema "Kule Italy jamaa wanaweza wakakupiga peni ya M****u") mpaka nikafumba macho badala ya masikio
 
Kabla ya Kupiga mawe mazito sana huyu dada, hebu kila mtu aanike amelalwa mara ngapi kwa Wanaweke, na Mmelalia mara ngapi kwa Wanaume, Just for keeping records straight.
 
TID anajidogosha sana...yani yule ni mtu mzima hata wajukuu alitakiwa awe nao

lakin anajifanyaga mjuaji shobo kibao..had anaboa
 
redioni ndugu nilisikia haja kubwa gafla loh nikasema ni TID ama mwingine binafsi ni kijana mtashi ukiacha mambo yake ya ujana ambayo naamini muda ukienda anabadilika lakini hili loh.....
redioni? na ilikua lazima aseme alishawahi date na wema? huwa siwaelewi waume/wanawake ambao hutangaza habari za wapenzi wao wa kale....shida ni nini? hawajawatoa moyoni?
 
kuna jambo lnimeligundua kuhusu wema sepetu..... she is so special alzima ana utamu si wakawaida ndio maana wote alioachan nao bado mpaka leo wanaendelea kumuongelea hakika hata diamond bado anataman kurudiana nae!!! simple rule ni kwamba anayemuongelea ongelea mwenzake ovyo baada ya kuachana ndio kimemuuma na ndio aliyeachwa in real sense!! kwa iyo wote kina TID, chals baba etc wao ndio inawauma kuachana na wema!!
 
redioni? Na ilikua lazima aseme alishawahi date na wema? Huwa siwaelewi waume/wanawake ambao hutangaza habari za wapenzi wao wa kale....shida ni nini? Hawajawatoa moyoni?

ungepewa ruhusa mkuu sijui dada zetu wa kichaga jf wangekimbilia wapi
am kidin bana he mbona hivyo
 
ukistaajabu ya mussa..kuna kipindi clouds tv alihojiwa kwakupigiwa simu live..akasema>>maswali ya kise,,nge..unamuuliza nani,,??ayo mambo ya kise,,nge waulize wase,,,<<< simu ikakatwa////nadhani alipigiwa wakat mbaya,,unga chapa azam ulikua umekwiva kwenye sigda yake

hivi akizidisha sembe jamaa awajawahi kutengua anttenna kweli
sina imani kama antena yake badoinashika live
 
kuna jambo lnimeligundua kuhusu wema sepetu..... She is so special alzima ana utamu si wakawaida ndio maana wote alioachan nao bado mpaka leo wanaendelea kumuongelea hakika hata diamond bado anataman kurudiana nae!!! Simple rule ni kwamba anayemuongelea ongelea mwenzake ovyo baada ya kuachana ndio kimemuuma na ndio aliyeachwa in real sense!! Kwa iyo wote kina tid, chals baba etc wao ndio inawauma kuachana na wema!!


go short
wameachwa sio ''
napita tu
 
pale antena akuna kabisaa,,,
nilikutana nae arusha pale blue moon formally velocity club...dahh nilisema kweli kazi ipo nawasanii,,alishoboka kwa demu wangu akataka apige nae picha ,,nilitaka ku react ila sijui alikunywa nin maana alikua ananuka A VERY STRONG SPIRIT kama keroseine ivi,,nikasemaa mwee asije akanipasulia chupa bure..
 
pale antena akuna kabisaa,,,
nilikutana nae arusha pale blue moon formally velocity club...dahh nilisema kweli kazi ipo nawasanii,,alishoboka kwa demu wangu akataka apige nae picha ,,nilitaka ku react ila sijui alikunywa nin maana alikua ananuka A VERY STRONG SPIRIT kama keroseine ivi,,nikasemaa mwee asije akanipasulia chupa bure..


haaahaaa MKUU KATOE SADAKA KANISANI
UNGEMGUSA MNGEONAKANA WEOTE CHAPA "AZANIA""" KWI KWI KWI
SIO TU ANAKUPASUA KICHWA ANACHUKUA NA MZIGO YALE MADUDE TEMA MATE CHINI KAMA UNA NDUUGU ANASHIRIKI ULE MKATE WA TID LOH
 
halafu jamaa bado anajiona bonge la star kumbe keshachuja long time ago,pengine ata dot.com wa hivi karibuni hawamfahamu kabisa.
 
Back
Top Bottom