Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
Nikadhani hilo naliona peke yanguNimeangalia kipindi duh uyu TID alitakiwa awe hosp kwa ajili kuchekiwa afya yake ya akili hayuko sawa.
Si ndiyo hapo !!! eti anawadai ....NONSENSE!!!!Unamzungumzia genius ruge or?
Kawasaidia Sana Hawa kina tid nikwamba binadamu wanakumbuka mabaya tu mema hawayaoni [HASHTAG]#GoRuge[/HASHTAG]
Nimeangalia kipindi duh uyu TID alitakiwa awe hosp kwa ajili kuchekiwa afya yake ya akili hayuko sawa.
I dont think so... I think he expressed his feelings and he said what he knows! That’s it...it is called freedom of speech... just like what Kanyee did few months ago.
Fuatilia uyu TID akiwa anahojiwa utaelewa achana na hii ya leo pale Wasafi Tv ila siku hizi anaongea vitu ambavyo havipo mfn leo anakuambia hata kifo cha Sam wa Ukweli hao Clouds wamesababisha(hajawataja moja kwa moja) haiwezekani wakongwe wote wawe wamefeli kisa Ruge nadhani ulimsikia Dully baadae kuna tofauti kati yao.
kaongea ukweli, tatizo wanachelewa kushtuka au kujua jinsi ya kucheza nao hao mawingu teh teh, mi ntalaumu wakati wenzao wanaonewa wao wakipewa favor hawakusema chochote. Cha msingi afanye kazi zake independentUyo teja jau
Marekani; mfumo uko hivi simply Major Label(mfano Livenation)-Minor/Record Label then watu wanafanya marketing, Tanzania sasa ona hakuna Major Label hata moja kimsingi, hata wewe unaweza record kibandani then unaenda straight katika media, anaibuka jamaa na hela zake anakulipa kidogo anatega mitego(risk kubwa)ikitiki anapiga faida, msanii anabaki analia lia. Solution msanii atengeneze mifumo yake independent kama Ryan Leslie anavyokomaa mwenyewe marekaniRuge change bro..Karma inakuja
kweli kabisaSi ndiyo hapo !!! eti anawadai ....NONSENSE!!!!
TALENT WITHOUT DISCIPLINE IS NOTHING.
I dont think so... I think he expressed his feelings and he said what he knows! That’s it...it is called freedom of speech... just like what Kanyee did few months ago.
He got nothing to loseRuge change bro..Karma inakuja