TID mnyama awadisi Clouds kwa kuua Mziki/ Awahusisha na majanga kwa wasanii.

TID mnyama awadisi Clouds kwa kuua Mziki/ Awahusisha na majanga kwa wasanii.

Unamzungumzia genius ruge or?
Kawasaidia Sana Hawa kina tid nikwamba binadamu wanakumbuka mabaya tu mema hawayaoni [HASHTAG]#GoRuge[/HASHTAG]
kawasaidia kuwapigia ngoma zake..but kawanyonya sana
 
Bob Marley ni legend wa reggae Ulaya? Nataka hii kitu anayovuta TID na mimi ni-enjoy.
 
kaongea ukweli, tatizo wanachelewa kushtuka au kujua jinsi ya kucheza nao hao mawingu teh teh, mi ntalaumu wakati wenzao wanaonewa wao wakipewa favor hawakusema chochote. Cha msingi afanye kazi zake independent
Hakuna ukweli kila mfa maji hutafuta wa kumsingizia, mbona wenzao hawalalmiki ovyo akina AY na Mwana F.A walijipanga.....
Hakuna mtu anayeweza kuhit kwa miaka 20 hata mbele ni wachache. Wako wapi akina Sisqo na Dru hill, akina Ja Rule na Ashanti, akina Exhibit, akina Chingy.
Mziki una muda wake ni wachache wanaweza mantain kwa muda mrefu so mtu akiwa on top ajitahidi awekeze.
Mwenzake Jay Mo alikaa kimya akasoma mchezo akarudi kwa style tofauti aache lawama maunga yanamzingua na kutokuwa na nidhamu.
 
Aha tumechoka na kulia lia kwa wasanii kuhusu mawingu mtu akichoka tu ata lalamikia mawingu mbona wakati wana shine wao tulikuwa hatusikii wasanii wengine wakilalamika tena radio zilikuwa chache tu sembuse Leo kila mkoa una radio zaidi ya mbili na kila aina ya mitandao ya kijamii .hawa jamaa wakubali tu game imekuwa tafu cozi hata wasanii na wenyewe wamekuwa wengi kila siku zinatoka nyimbo mpya.kila kitu na wakati wake,Muda ni mwalimu mzuri sana.
well said mkuu leo kuna redio nyingi mtandao usiseme hadi watu wamekuwa ma star kupitia instagram, wasanii wengine wametokea via instagram. Msanii akiona kwa sasa anashindwa trend asisingizie clouds akubari kuwa raia zishamchoka na raia wakikuchoka hata uimbe nini hawakuelewi
 
Ruge change bro..Karma inakuja


Tatizo wasanii wetu wanasahau kuwa tabia zao binafsi ndio zinawafanya wafe masikini, mbona Diamond amepita humo humo walimopita. Gharama zao za maisha ni kubwa sana kuliko vipato vyao na zaidi wameendekeza matumizi kwenye liabilities kuliko asset, wanafikiri usanii ni kufanya matanuzi bila mpangilio,
 
Ruge change bro..Karma inakuja

Huyu pimbi tuu hajielewi keshamaliza urithi wake kwa kubwia unga ajabu anaanza kutafuta wa kumlaumu.Hivi mateja wataacha lini tabia ya kulaumu watu kwenye makosa wanayofanya wenyewe?Teja mnunulie chakula kila siku ila siku moja ukimwambia hali mbaya utasikia milawama yake.
 
licha ya TID kuwa na mapungufu kadhaa, katika hili la leo mimi nimemuelewa sana.
 
Huyu pimbi tuu hajielewi keshamaliza urithi wake kwa kubwia unga ajabu anaanza kutafuta wa kumlaumu.Hivi mateja wataacha lini tabia ya kulaumu watu kwenye makosa wanayofanya wenyewe?Teja mnunulie chakula kila siku ila siku moja ukimwambia hali mbaya utasikia milawama yake.
acha dharau pimbi wewe..
 
acha dharau pimbi wewe..
Ulianzisha uzi ili umpe kiki ila ukweli ndo nishasema he is just a garbage...ukienda pale Run way utamkuta anagongea gongea sigara shame on him...Amerithi kwa wazee na alivyochuma vyote katia kwenye bwimbwi leo anamlaumu Ruge eti kamzima kimziki, nani yupo tayari ku invest kwa teja ?
 
Mwanamuziki yyt hats awe juu vipi kuna muda muda utafika watu watakuchoka tu hats utoe nyimbo gani ndo kinachowakuta hawa jamaa!....hawawezi kurudi juu tena!...waendelee na issue zingine tu
 
Hawa kina tid na wenzake Bangi na
Unga wanazovuta wapunguze

wanajua
Kabsa wamefka hapo walipo
Kwa nguvu ya clouds lkn leo
Ndo wanaona ruge n mbaya
Punguzen Bangi

Wakukjambisha ruge n jide
Pekeake na co vichwa panz wa
Unga kama nyie
 
Back
Top Bottom