Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
- Thread starter
-
- #21
kawasaidia kuwapigia ngoma zake..but kawanyonya sanaUnamzungumzia genius ruge or?
Kawasaidia Sana Hawa kina tid nikwamba binadamu wanakumbuka mabaya tu mema hawayaoni [HASHTAG]#GoRuge[/HASHTAG]
Hakuna ukweli kila mfa maji hutafuta wa kumsingizia, mbona wenzao hawalalmiki ovyo akina AY na Mwana F.A walijipanga.....kaongea ukweli, tatizo wanachelewa kushtuka au kujua jinsi ya kucheza nao hao mawingu teh teh, mi ntalaumu wakati wenzao wanaonewa wao wakipewa favor hawakusema chochote. Cha msingi afanye kazi zake independent
well said mkuu leo kuna redio nyingi mtandao usiseme hadi watu wamekuwa ma star kupitia instagram, wasanii wengine wametokea via instagram. Msanii akiona kwa sasa anashindwa trend asisingizie clouds akubari kuwa raia zishamchoka na raia wakikuchoka hata uimbe nini hawakuelewiAha tumechoka na kulia lia kwa wasanii kuhusu mawingu mtu akichoka tu ata lalamikia mawingu mbona wakati wana shine wao tulikuwa hatusikii wasanii wengine wakilalamika tena radio zilikuwa chache tu sembuse Leo kila mkoa una radio zaidi ya mbili na kila aina ya mitandao ya kijamii .hawa jamaa wakubali tu game imekuwa tafu cozi hata wasanii na wenyewe wamekuwa wengi kila siku zinatoka nyimbo mpya.kila kitu na wakati wake,Muda ni mwalimu mzuri sana.
Tatizo wasanii wetu wanasahau kuwa tabia zao binafsi ndio zinawafanya wafe masikini, mbona Diamond amepita humo humo walimopita. Gharama zao za maisha ni kubwa sana kuliko vipato vyao na zaidi wameendekeza matumizi kwenye liabilities kuliko asset, wanafikiri usanii ni kufanya matanuzi bila mpangilio,Ruge change bro..Karma inakuja
Huyu pimbi tuu hajielewi keshamaliza urithi wake kwa kubwia unga ajabu anaanza kutafuta wa kumlaumu.Hivi mateja wataacha lini tabia ya kulaumu watu kwenye makosa wanayofanya wenyewe?Teja mnunulie chakula kila siku ila siku moja ukimwambia hali mbaya utasikia milawama yake.Ruge change bro..Karma inakuja
licha ya TID kuwa na mapungufu kadhaa, katika hili la leo mimi nimemuelewa sana.
acha dharau pimbi wewe..Huyu pimbi tuu hajielewi keshamaliza urithi wake kwa kubwia unga ajabu anaanza kutafuta wa kumlaumu.Hivi mateja wataacha lini tabia ya kulaumu watu kwenye makosa wanayofanya wenyewe?Teja mnunulie chakula kila siku ila siku moja ukimwambia hali mbaya utasikia milawama yake.
Ulianzisha uzi ili umpe kiki ila ukweli ndo nishasema he is just a garbage...ukienda pale Run way utamkuta anagongea gongea sigara shame on him...Amerithi kwa wazee na alivyochuma vyote katia kwenye bwimbwi leo anamlaumu Ruge eti kamzima kimziki, nani yupo tayari ku invest kwa teja ?acha dharau pimbi wewe..
Labda mabaya yamezidi wema.Unamzungumzia genius ruge or?
Kawasaidia Sana Hawa kina tid nikwamba binadamu wanakumbuka mabaya tu mema hawayaoni [HASHTAG]#GoRuge[/HASHTAG]
Swahili people are not used to freedom of speech.I dont think so... I think he expressed his feelings and he said what he knows! That’s it...it is called freedom of speech... just like what Kanyee did few months ago.
Free thinking is a superpowerSo, what feelings expressed by Kanye, slavery was a choice?
Mtoto wa kiume unakubalije kunyonywa na mwanaume mwenzako?kawasaidia kuwapigia ngoma zake..but kawanyonya sana