johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Atawakilisha wana Kigamboni mkuu!!Atawakilisha wala unga, ikumbukwe tayari wavuta bangi wamo mle ndani (kwa mujibu wa spika ndugai)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atawakilisha wana Kigamboni mkuu!!Atawakilisha wala unga, ikumbukwe tayari wavuta bangi wamo mle ndani (kwa mujibu wa spika ndugai)
Wewe ni TID?Tid atakuona wewe ndio " mjinga" unayemshangaa yeye na kumshangilia Sugu!
Mimi siye!Wewe ni TID?
Makonda anaingiaje hapo!Makonda makonda!!acha kumhadaa
Hahahaha [emoji13] [emoji13]Acha kufananisha ubunge na mambo ya kijinga
Ww acha kumfananisha sugu na vitu vya ki.......ngaTid atakuona wewe ndio " mjinga" unayemshangaa yeye na kumshangilia Sugu!
Basi agombee kupitia Chadema labda itawapendeza!Labda kama "bata" ndio watakuwa wanapiga kura wakati huo, basi na jimbo achukue.
Hawa ni aina ya vichaa wanaoamini ukimkosoa Magufuli basi wewe unamuunga mkono Lowassa!Mbona bro umenivalisha uhusika pori?
Wapi nimemshangilia sugu kwenye iyo post yangu?