TID ( Mnyama ) kugombea Ubunge Kigamboni kupitia CCM 2020!

Kwa lile lichama lao lenye watuwasiojulikana tabia zao wala huwezi shangaaa akipeta..
 
ha ha ha yaani chama cha wenzangu wenyewe maaaaji tu sasa bado matope nayo yanataka kujichnganya na maaji ha ha ha
 
Vyuma vimekaza mtaani kwa wasanii na miaka inaongezwa mpk 7 sasa mpk kuisha io saba wasanii wa bongofleva wote akifatiwa na chidi benz kuwania ubunge
 
Mbona bro umenivalisha uhusika pori?
Wapi nimemshangilia sugu kwenye iyo post yangu?
Hawa ni aina ya vichaa wanaoamini ukimkosoa Magufuli basi wewe unamuunga mkono Lowassa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…