Mkuu kwenye hiyo neno " very interesting" umenikosha sanaNimeona kidogo tu kwenye tangazo la EATV....Kr Mullah ana perfom 'kamua'
yuko na TID kwenye Friday night live....
kwa kweli hawa jamaa sasa ni 'burudani tosha'
natamani kuona mwenye full clip aiweke hapa
na kama wana wimbo wowote wa pamoja nadhani utakuwa very interesting...
mwenye clip please aiweke hapa
Hata mi nimeona,Nimeona kidogo tu kwenye tangazo la EATV....Kr Mullah ana perfom 'kamua'
yuko na TID kwenye Friday night live....
kwa kweli hawa jamaa sasa ni 'burudani tosha'
natamani kuona mwenye full clip aiweke hapa
na kama wana wimbo wowote wa pamoja nadhani utakuwa very interesting...
mwenye clip please aiweke hapa
hawana youtube kile kipindi kila kitu kinaishia siku hiyohiyo na ndo mana ata marudio hawanahawakiweki youtube?
ALIKAMUA VIKALI KIPINDI KILICHOPITA ILIKUA NI BURUDANI , JAMAA WALIKUJA KIHUNI NA KIRASTA HASWA HUYU KR.Nimeona kidogo tu kwenye tangazo la EATV....Kr Mullah ana perfom 'kamua'
yuko na TID kwenye Friday night live....
kwa kweli hawa jamaa sasa ni 'burudani tosha'
natamani kuona mwenye full clip aiweke hapa
na kama wana wimbo wowote wa pamoja nadhani utakuwa very interesting...
mwenye clip please aiweke hapa
kila ijumaa sa 3 kama una mda angaliaDah basi nimekosa kitu
yani ungeona interview yao ikuwa vituko sana huyo kr miaka yote nyimbo yake ndo hiyo aliulizwa kwanin picha zako zilionekana mitandaoni ukiwa umelala barabaran akajibu alikuwa amechokaNimeona kidogo tu kwenye tangazo la EATV....Kr Mullah ana perfom 'kamua'
yuko na TID kwenye Friday night live....
kwa kweli hawa jamaa sasa ni 'burudani tosha'
natamani kuona mwenye full clip aiweke hapa
na kama wana wimbo wowote wa pamoja nadhani utakuwa very interesting...
mwenye clip please aiweke hapa
yani ungeona interview yao ikuwa vituko sana huyo kr miaka yote nyimbo yake ndo hiyo aliulizwa kwanin picha zako zilionekana mitandaoni ukiwa umelala barabaran akajibu alikuwa amechoka
tid naye kama kawaida yake kuweuka yani ilikuw vituko
Utakuwa ulikula cha Arusha.Alafu namuona kr kawa mfupi au walimtoa vibaya
HAHA jamaa walimchora sana K.R ..yeye ndio miongoni mwa waanzilishi wa HIP HOP cha ajabu ana wimbo mmoja tuu hit.. pia jamaa alinichekesha alivyokua anamtishia dulla kwa kumpiga ngumi, jamaa walijichoresha sana bora wasingekuja na T.I.D alikua kalewa mbayayani ungeona interview yao ikuwa vituko sana huyo kr miaka yote nyimbo yake ndo hiyo aliulizwa kwanin picha zako zilionekana mitandaoni ukiwa umelala barabaran akajibu alikuwa amechoka
tid naye kama kawaida yake kuweuka yani ilikuw vituko
Alafu namuona kr kawa mfupi au walimtoa vibaya
halaf hapo akiongezeaMkuu kwenye hiyo neno " very interesting" umenikosha sana
hiyo clip sina ningeiweka
Huyu ni KR yule aliyekuwa GWM?HAHA jamaa walimchora sana K.R ..yeye ndio miongoni mwa waanzilishi wa HIP HOP cha ajabu ana wimbo mmoja tuu hit.. pia jamaa alinichekesha alivyokua anamtishia dulla kwa kumpiga ngumi, jamaa walijichoresha sana bora wasingekuja na T.I.D alikua kalewa mbaya