The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Nimeona kidogo tu kwenye tangazo la EATV....Kr Mullah ana perfom 'kamua'
yuko na TID kwenye Friday night live....
kwa kweli hawa jamaa sasa ni 'burudani tosha'
natamani kuona mwenye full clip aiweke hapa
na kama wana wimbo wowote wa pamoja nadhani utakuwa very interesting...
mwenye clip please aiweke hapa