St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Angeitaka Tunda ungekuwa ushaipata[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hiyo clip sina ningeiweka
Ulivyomalizia post yako mkuu,hayaaaaaHuyu ni KR yule aliyekuwa GWM?
Kama ndiye hawa ndio wanangu wa mwanzo kabisa siku zile za mashindano ya marehemu Kim Mgomelo (Yo Rap Bonanza).
Enzi za Kwanza Unit, Hard Blasters (Kabla ya Profesa Jay) na Dar Young Mob (Kabla Mr 2 hajajiondoa).
Kabla Magufuli hajafika mjini.
Unapoona nilivyomaliza mie hata kuanza sijaanza bado.Ulivyomalizia post yako mkuu,hayaaaaa
ndio mwenyewe mkuu K.R jitu mwitu msitu kitambo sana interview zote hua anaimba wimbo wa wa KAMUA BABA TUUHuyu ni KR yule aliyekuwa GWM?
Kama ndiye hawa ndio wanangu wa mwanzo kabisa siku zile za mashindano ya marehemu Kim Mgomelo (Yo Rap Bonanza).
Enzi za Kwanza Unit, Hard Blasters (Kabla ya Profesa Jay) na Dar Young Mob (Kabla Mr 2 hajajiondoa).
Kabla Magufuli hajafika mjini.
Mwanangu kama namuona vile pale Empire Cinema nje Azikiwe pale ananisomesha enzi zile.ndio mwenyewe mkuu K.R jitu mwitu msitu kitambo sana interview zote hua anaimba wimbo wa wa KAMUA BABA TUU
halafu wananikera kweli hvyo kutorudia!hawana youtube kile kipindi kila kitu kinaishia siku hiyohiyo na ndo mana ata marudio hawana
Wananiita kr mullah mziki mkubwa cd 700 huyo mtu wa kitambo sana huwa nikiangalia mpaka leo yupo hubaki kushangaa.halafu wananikera kweli hvyo kutorudia!
Jina kubwa nyimbo zenyewe sijui nga'api!!!Wananiita kr mullah mziki mkubwa cd 700 huyo mtu wa kitambo sana huwa nikiangalia mpaka leo yupo hubaki kushangaa.
mkuu kweli hubahatishi/naona upo nondo ni long time sana.. pia K.R nakumbuka alishatoa albam moja tuu na aliweka nyimbo tano including intro.. album iliitwa KAMUA KWA UWEZOMwanangu kama namuona vile pale Empire Cinema nje Azikiwe pale ananisomesha enzi zile.
Duh, umenikumbusha mbali sana.
Hawa nimekaa nao Studio enzi zile Bonnie Luv anawarekodia "Cheza Mbali na Kasheshe".mkuu kweli hubahatishi/naona upo nondo ni long time sana.. pia K.R nakumbuka alishatoa albam moja tuu na aliweka nyimbo tano including intro.. album iliitwa KAMUA KWA UWEZO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angeitaka Tunda ungekuwa ushaipata[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
TID anatema yai kuliko mwenye phd ya kutoa kutu
Mkuu hivi huyo kim ni yule wa kim the boys, aliyekuwa anaanda mashindano ya kucheza muziki?Huyu ni KR yule aliyekuwa GWM?
Kama ndiye hawa ndio wanangu wa mwanzo kabisa siku zile za mashindano ya marehemu Kim Mgomelo (Yo Rap Bonanza).
Enzi za Kwanza Unit, Hard Blasters (Kabla ya Profesa Jay) na Dar Young Mob (Kabla Mr 2 hajajiondoa).
Kabla Magufuli hajafika mjini.
Kamua peke yake ndio nyota anayo tembeleaJina kubwa nyimbo zenyewe sijui nga'api!!!
Atakuwa dotto huyo mzee wa yamenikutaHawa nimekaa nao Studio enzi zile Bonnie Luv anawarekodia "Cheza Mbali na Kasheshe".
Enzi za kina Kolumba Mwingira na O Juice.
Huku Y Thang anatema yai ukiwa humjui utasema mnyamwezi kashuka kutoka Harlem leo.
KR na yule dogo mwingine wa GWM wamepotea hapa kati, lakini kipindi kile walipata airtime sana.
kashafulia yule!Kamua peke yake ndio nyota anayo tembelea
Mwenzio raisi ujue!kashafulia yule!