TID na KR Mullah.....

TID na KR Mullah.....

Huyu ni KR yule aliyekuwa GWM?

Kama ndiye hawa ndio wanangu wa mwanzo kabisa siku zile za mashindano ya marehemu Kim Mgomelo (Yo Rap Bonanza).

Enzi za Kwanza Unit, Hard Blasters (Kabla ya Profesa Jay) na Dar Young Mob (Kabla Mr 2 hajajiondoa).

Kabla Magufuli hajafika mjini.
Ulivyomalizia post yako mkuu,hayaaaaa
 
Huyu ni KR yule aliyekuwa GWM?

Kama ndiye hawa ndio wanangu wa mwanzo kabisa siku zile za mashindano ya marehemu Kim Mgomelo (Yo Rap Bonanza).

Enzi za Kwanza Unit, Hard Blasters (Kabla ya Profesa Jay) na Dar Young Mob (Kabla Mr 2 hajajiondoa).

Kabla Magufuli hajafika mjini.
ndio mwenyewe mkuu K.R jitu mwitu msitu kitambo sana interview zote hua anaimba wimbo wa wa KAMUA BABA TUU
 
Mwanangu kama namuona vile pale Empire Cinema nje Azikiwe pale ananisomesha enzi zile.

Duh, umenikumbusha mbali sana.
 
Atakua alitafuna bangi kwanza kupata stimu
 
Mwanangu kama namuona vile pale Empire Cinema nje Azikiwe pale ananisomesha enzi zile.

Duh, umenikumbusha mbali sana.
mkuu kweli hubahatishi/naona upo nondo ni long time sana.. pia K.R nakumbuka alishatoa albam moja tuu na aliweka nyimbo tano including intro.. album iliitwa KAMUA KWA UWEZO
 
Hawa nimekaa nao Studio enzi zile Bonnie Luv anawarekodia "Cheza Mbali na Kasheshe".

Enzi za kina Kolumba Mwingira na O Juice.

Huku Y Thang anatema yai ukiwa humjui utasema mnyamwezi kashuka kutoka Harlem leo.

KR na yule dogo mwingine wa GWM wamepotea hapa kati, lakini kipindi kile walipata airtime sana.
 
Huyu ni KR yule aliyekuwa GWM?

Kama ndiye hawa ndio wanangu wa mwanzo kabisa siku zile za mashindano ya marehemu Kim Mgomelo (Yo Rap Bonanza).

Enzi za Kwanza Unit, Hard Blasters (Kabla ya Profesa Jay) na Dar Young Mob (Kabla Mr 2 hajajiondoa).

Kabla Magufuli hajafika mjini.
Mkuu hivi huyo kim ni yule wa kim the boys, aliyekuwa anaanda mashindano ya kucheza muziki?
amefariki lini?
 
Hawa nimekaa nao Studio enzi zile Bonnie Luv anawarekodia "Cheza Mbali na Kasheshe".

Enzi za kina Kolumba Mwingira na O Juice.

Huku Y Thang anatema yai ukiwa humjui utasema mnyamwezi kashuka kutoka Harlem leo.

KR na yule dogo mwingine wa GWM wamepotea hapa kati, lakini kipindi kile walipata airtime sana.
Atakuwa dotto huyo mzee wa yamenikuta
 
Back
Top Bottom