SHANTI
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 296
- 365
Hatimaye lile bifu lililodumu kwa miaka kadhaa baina ya mastaa wawili wa muziki waliounda Top Band , TID na Q-CHIEF llimezikwa rasmi leo ndani ya studio za CLOUDS FM.
Mastaa hao wamehaidi kuja na kasi ya ajabu ili kuwafukuza wadogo zao na kurudisha enzi zao
Mastaa hao wamehaidi kuja na kasi ya ajabu ili kuwafukuza wadogo zao na kurudisha enzi zao