hahahahaah hakika siwezi kuikacha jfNi mzuri japo sijauona wala kuusikia
Hahahahahaaa.... Una expansheni jointi kwenye ubongo...Ni mzuri japo sijauona wala kuusikia
HahahahaHiyo ngoma ni kali sema wamekosea sehemu moja nayo hata hiyo sehemu moja haipo
Pamoja mkuuHahahaha
YaaaH.. It is good colaboration.. HongeraYaani nimeanza kuperuzi Youtube tu, nikaona kitu iko kwa juu. Sasa nairudia kwa mara ya nane, nafikiri leo ndio itakuwa nyimbo yangu. Mafundi wamekutana
Sema ni ngoma ya TID ila kwa sauti ya harmonize angepita nayo ingekua tam sana. Sema Rich fundi aseeMimi naona wangeimba mavoko na harmoniz huyu tid kama sijamwelewa kabisa angeswich kidogo asound kama wasafi ingekuwa poa zaidi lakini sio mbaya
Sema ni ngoma ya TID ila kwa sauti ya harmonize angepita nayo ingekua tam sana. Sema Rich fundi asee