TID na Rich Mavoko, hii ngoma imenibamba...

TID na Rich Mavoko, hii ngoma imenibamba...

Ipo poa I hope itamtoa kwenye stress Khalid Mohamed.

Maana ngada haijamuacha mtu salama.
 
Cjui nitarud lini mjini niiskie.....mshanipa stress ujue
 
Ngoma ni kali ila kwa sikio langu naona kama biti ni nyepesi kama mtu anapiga vyombo au sahani za bati..na kinanda au marimba.

Mbona P alikuwa anasuka beat nzito na zinasound poa..anyway sijui huyu ni nani au Laiza?
 
Mimi naona wangeimba mavoko na harmoniz huyu tid kama sijamwelewa kabisa angeswich kidogo asound kama wasafi ingekuwa poa zaidi lakini sio mbaya
 
Yaani nimeanza kuperuzi Youtube tu, nikaona kitu iko kwa juu. Sasa nairudia kwa mara ya nane, nafikiri leo ndio itakuwa nyimbo yangu. Mafundi wamekutana



YaaaH.. It is good colaboration.. Hongera
 
Mimi naona wangeimba mavoko na harmoniz huyu tid kama sijamwelewa kabisa angeswich kidogo asound kama wasafi ingekuwa poa zaidi lakini sio mbaya
Sema ni ngoma ya TID ila kwa sauti ya harmonize angepita nayo ingekua tam sana. Sema Rich fundi asee
 
Rich sasa hivi kakomaa kisanii, TID nae kaonyesha jinsi gani alivyo mkongwe. Nasikiliza hii ngoma all day.
 
urafiki wa TID na makonda umemlipa unadhani angepata Angepata wapi nafasi ya kuimba na WCB?
 
Back
Top Bottom