TID pokea ushauri, rudi kwenye fani ya utangazaji

Na yule video queen kwenye siamini anashuka naye kwenye ndege alikuwa anafanya kazi Channel 5 (EATV ) sijui kapotelea wapi?
yule nae alikuwa daaah ndo tulikuwa tunaviita vinu vya lundenga inshort mwana enz limelight aijazima kafaidi
 
Kwa sasa kavurugwa sana aiseee.

Ukipita mitaa ya kwao pale Kinondoni Studio wenyewe wanapaitwa "Kwao T.I.D" utamkuta kakaa na wahuni wanakula bange na unga tu huku kapaki kigali chake kwa pembeni.

Hawezi kazi yule kwa sasa, keshaharibikiwa.

Mitaa ile ni maarufu sana kwa "watoto wa watu" sijui kama na yeye kapona kwa hilo.
 
Kila zama na kitabu chake. Sio mtume huyo kiasi kwamba apate attention ya watu miaka yote.
 
Angeacha sembe kwanza,jamaa anajua mziki jamaa ni dancer pia jamaa pia alivunja kwenye girlfriend nilipenda sana hiyo filamu,kweli unga unapoteza watu
 
Angeacha sembe kwanza,jamaa anajua mziki jamaa ni dancer pia jamaa pia alivunja kwenye girlfriend nilipenda sana hiyo filamu,kweli unga unapoteza watu
Hajui kucheza ila ana flair/ swagga fulani inayotakiwa, anyway, ni mtazamo wangu!
 
Akiacha upuuzi ma kibri anaweza mtoa Mond na kiba sokoni.
 
Uwiioiiiiieee yeuwuiiiiiiiiiiieee auwiiiiiiiiiii, kwanini kafa mapema jaman uwiiiiiiieee
Kufa ni sehemu ya maisha yeye kafa lkn kazi zake zipo RIP michael joseph jackson.
 
Kufa ni sehemu ya maisha yeye kafa lkn kazi zake zipo RIP michael joseph jackson.
Uwiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii auwiiiiiiiiiiii jaman uchungu mkali auwiiiiiiiiiiieee
 
Mmoja wa watu wanaonisikitisha ni Top in Dar. Hata movie ya Girlfriend alicheza vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…