Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hawa ndio wanapakatwaga regardless ya gender zao. Ukiwa na mtoto wa kaliba hii, una hasara.Jumatatu asubuhi hii, nenda shule acha uzwazwa.
Almasi nae anahusika katika hili.... Amepigana sana kuonesha anampenda mama yake (kuliko sisi) kwa kummodernize sana wakati anajua mama ake ni mswazi sana....mama kajua Instagram sasa imekuwa balaa. Hii ishu najua itakuwa inamuumiza sana jamaa ila hana cha kusema. Huyo bibi kuolewa mi nnasapoti 100% cz nae pia anahitaji faraja ila jinsi ndoa inavyofanywa huko mitandaoni daaah!!!Kuna muda inabidi tukae chini na wazazi wetu tuwape darasa hizi ni kuaribiana reputation ya mwanawe aisee
So sad to himAlmasi nae anahusika katika hili.... Amepigana sana kuonesha anampenda mama yake (kuliko sisi) kwa kummodernize sana wakati anajua mama ake ni mswazi sana....mama kajua Instagram sasa imekuwa balaa. Hii ishu najua itakuwa inamuumiza sana jamaa ila hana cha kusema. Huyo bibi kuolewa mi nnasapoti 100% cz nae pia anahitaji faraja ila jinsi ndoa inavyofanywa huko mitandaoni daaah!!!
Reputation kashavuruga mwenyewe mtoto kwenda kuzaa na changu tena kitandani halafu kategwa kaingia mazima na picha juKuna muda inabidi tukae chini na wazazi wetu tuwape darasa hizi ni kuaribiana reputation ya mwanawe aisee