Tiffah na Nillan wa Diamond wanamsubiri Baba yao mdogo azaliwe

Kuna muda inabidi tukae chini na wazazi wetu tuwape darasa hizi ni kuaribiana reputation ya mwanawe aisee
Almasi nae anahusika katika hili.... Amepigana sana kuonesha anampenda mama yake (kuliko sisi) kwa kummodernize sana wakati anajua mama ake ni mswazi sana....mama kajua Instagram sasa imekuwa balaa. Hii ishu najua itakuwa inamuumiza sana jamaa ila hana cha kusema. Huyo bibi kuolewa mi nnasapoti 100% cz nae pia anahitaji faraja ila jinsi ndoa inavyofanywa huko mitandaoni daaah!!!
 
So sad to him
 
Kuna muda inabidi tukae chini na wazazi wetu tuwape darasa hizi ni kuaribiana reputation ya mwanawe aisee
Reputation kashavuruga mwenyewe mtoto kwenda kuzaa na changu tena kitandani halafu kategwa kaingia mazima na picha ju
Anaugulia huko, sasa Zari watamjua tu maana km Ivan aliweza kupigwa kimyakimya mpk kaondoka kwa moyo.
Tungoje huyu ndg yetu na elimu yake hii atakapokuja banwa kwenye kona.
Wanacheza na fursa
 
Back
Top Bottom