Tiffah na Nillan wa Diamond wanamsubiri Baba yao mdogo azaliwe

Tiffah na Nillan wa Diamond wanamsubiri Baba yao mdogo azaliwe

wakuu.
ni furaha kubwa sana kwa watoto wa Diamond Tiffah na Nillan wakimsubiri Baba yao mdogo azaliwe ili waanze kucheza nae itakua furaha sana kumpata Baba mdogo a.k.a mtoto wa Shamte.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mario wanajisogeza tu kwenye familia hii ili watafune vizuri jasho la Mondi.
Utaskia soon Queen darleen nae kasogeza Mario. Kaka atalipa
 
Jaman mm nina mpango wa kuzaa tena, wallah next year ujiandae kuleta been la mtt wadada na wa mama wa jf.

Kama Kendra ana mimba seuze miye?
 
Jaman mm nina mpango wa kuzaa tena, wallah next year ujiandae kuleta been la mtt wadada na wa mama wa jf.

Kama Kendra ana mimba seuze miye?
hahahahahaha Mwl zaa tuu.......
 
Kuna muda inabidi tukae chini na wazazi wetu tuwape darasa hizi ni kuaribiana reputation ya mwanawe aisee
 
Kuna muda inabidi tukae chini na wazazi wetu tuwape darasa hizi ni kuaribiana reputation ya mwanawe aisee
Kabisaaa!!Ila wenyewe wanaona sifa..!!mzazi kuzaa huku mtt anaendelea kuzaa c vzur kwa kwel
 
Back
Top Bottom