Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
973
Mtoto wa Dangote leo anafikisha siku 40 za kuzaliwa..

=====
======

View attachment 288994

View attachment 288995

View attachment 288997

======
Diamond knows how to brand his products. So tonight on Clouds TV people will take a tour to his house. Whether it was Clouds idea or his, This shows how much bongo music platform is respected.

In my opinion the next "Diamond" is Ali kiba, Joh Makini, Vee money + Jux, Nahreel and Shetta.

==========

TAZAMA videos za shughuli nzima hapa.





Video clips credit: Global TV
 
Last edited by a moderator:
She is still a man without face!
 
Duh... Sijui ni Hela au Fame??!? Hilo jina ulivyolipamba..
Ok! Tunataka picha , hasa mdomo.
 
Hiyo hapoo
 

Attachments

  • 1442744572428.jpg
    1442744572428.jpg
    36.2 KB · Views: 3,788
Hivi hio sherehe inaruhusiwa hata kwa wazazi waliopata mtoto kwa uasherati(uzinzi) yani Bila kuoana, kwa wenye kujua misingi ya dini tafadhali
 
[QQUOTE=Kidingi;14051941]oyoooo noma sana... Tunaamsha popo State haouse sahv, ila wameharibu kuweka CCTV maisha ya gheto kwenda kwenye sherehe bila kurudi na chakula haifaiii[/QUOTE]ahahaaa dah
 
Jamani mtoto mzuri sana.
Ipa hafanani na mzee wake hata robo!
Ngoja kidogo akue kue labda!!
 
Utumwa wa kimawazo..ni mbaya mnoo...yan mtoto anaiteka instaa...dah..
 
Hivi hio sherehe inaruhusiwa hata kwa wazazi waliopata mtoto kwa uasherati(uzinzi) yani Bila kuoana, kwa wenye kujua misingi ya dini tafadhali

Wewe ndio Mungu
Ebu mwache mtoto wa Katunzi bwana.
 
Hizi picha narusha Leo ni za Leo tangu wameamka wamekuwa na sponsor

1442750054982.jpg

1442750019012.jpg

1442750038575.jpg

1442750054982.jpg

1442750084963.jpg

1442750113713.jpg
 

Attachments

  • 1442750004206.jpg
    1442750004206.jpg
    30.8 KB · Views: 2,251
Back
Top Bottom