Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

1442754641772.jpg

1442754671770.jpg

1442754688439.jpg
 
Hahahahahahahah zari yupo busy na simu tu ,Esma kanyimwa pesa ya salon nini zari kabana
 
Akili za Domondi na Bibi kizee wake ni zero brain,karne hii bado unamvalisha mtoto mikamba myeusi mkononi?
 
Leo kumekucha

Clouds, NMB..... wanamwaga mipesa kwa Tiffah

This says a lot about our intelligence! In the main time kuna hospital hazina madawa! NMB na clouds si wangeweza kuchangia afya, kweli hapa kazi tu.
 
Hapo sawa.
Sasa kuna mtu hapa pembeni ananambia "Mashallah mdomo kama babake!"
Ntamnunulia binoculars!

Ahahahaaa mie nikiomba sura afanane na mama yake!imekuwa bahati mbaya kwa upande wangu!!!sio kwa mjuso ule wa Nassib,ngoja tuone ukubwani
 
Duh kumbe me na jamaa yangu anaishi karikakoo kwa mama yake kazaa watoto 4 na wanawake wanne tofauti si ndo atakuwa na dhambi zaidi ngoja nikamuambie akatubu

hahahahahaaaa.....
 
Back
Top Bottom