Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

wachangie mara ngapi? wewe umechangia kiasi gani?
wacha kupangia watu matumizi ya pesa zao.....!!

Kuna biashara na "social responsibilities ( ethical practice)" sasa ndugu yangu unataka ije vp wakat kwenu tu pamoja kuwa na uwezo hamkuwahi kukaa na "yatima"
 
Attachments

  • 1442852636038.jpg
    1442852636038.jpg
    17.8 KB · Views: 476
Diamond upo juu wivu umewajaa watu wanakusaka tena upo juu haswa maana bila wewe hakuna cha kuongelea.

Wivuvl mbaya wameshindwa kuponda sherehe wanabaki na tuliyoyazoea. Hongera kwa kuwa staaaaaaa mkubwa nchini. Hakunaga

Topic zako karibu zote zimeamka. Hongera

Watanyooka tu
 
I wish he could be reading this..
But unfortunately enough ....:sly:
Sidhanii kamaa yukogaa humu
 
Ipo ndoa ya mkataba wewe dhehebu gani dada? Sunni na ibadhi wana mushkel nayo ila shia wanaitumia sana

Hiyo ndoa inaitwa mut'ah

Haikuwah kuthibiti kidalili Mut'ah! Shia misimamo yao ni mtihani! Sitaki niwakufurishe lakini........ acha niishie hapa, si jukwaa la dini hili tusiharibu uzingwa!
 
Ipo ndoa ya mkataba wewe dhehebu gani dada? Sunni na ibadhi wana mushkel nayo ila shia wanaitumia sana

Hiyo ndoa inaitwa mut'ah

Mutah inamasharti yake na sidhani kama hao wawili wanaangukia kwenye hayo masharti ya mutah
 
Mtoto wa zinaa ni mtoto wa mama.so msela wangu Nasibu abdul bado ana mtoto...izo mbwembwe zote ila ajue hana mtoto.aiseeeh ni hasara kwelikweli...
 
Ipo ndoa ya mkataba wewe dhehebu gani dada? Sunni na ibadhi wana mushkel nayo ila shia wanaitumia sana

Hiyo ndoa inaitwa mut'ah

Mutwah ni uchochoro tu wa kuhalalisha zinaa.Diamond ni sunni,sunni hawaamini katika mutwah
 
Back
Top Bottom