wachangie mara ngapi? wewe umechangia kiasi gani?
wacha kupangia watu matumizi ya pesa zao.....!!
Mtoto wa masikini huyo hana 40 wala 50 yupo yupo tu kama magufuli
Mmh kibakuli Ana watoto wangapi anazaa kama digidigi duuh huyu 40 yake ishapita au bado
Duu wamefanana kama kunde
Basi sawa ila wasisahau na toba.
Maana wamepata mtoto bila ndoa..
Diamond upo juu wivu umewajaa watu wanakusaka tena upo juu haswa maana bila wewe hakuna cha kuongelea.
Wivuvl mbaya wameshindwa kuponda sherehe wanabaki na tuliyoyazoea. Hongera kwa kuwa staaaaaaa mkubwa nchini. Hakunaga
Topic zako karibu zote zimeamka. Hongera
Watanyooka tu
I wish he could be reading this..
But unfortunately enough ....:sly:
Sidhanii kamaa yukogaa humu
I wish he could be reading this..
But unfortunately enough ....:sly:
Sidhanii kamaa yukogaa humu
Walishafunga ndoa ya kiislamu jameni but ni ya mkataba.... Upo hapo ndugu??
katika uislamu HAKUNA ndoa ya mkataba. Usipotoshe imani usioijua.
Ipo ndoa ya mkataba wewe dhehebu gani dada? Sunni na ibadhi wana mushkel nayo ila shia wanaitumia sana
Hiyo ndoa inaitwa mut'ah
Ipo ndoa ya mkataba wewe dhehebu gani dada? Sunni na ibadhi wana mushkel nayo ila shia wanaitumia sana
Hiyo ndoa inaitwa mut'ah
Mutah inamasharti yake na sidhani kama hao wawili wanaangukia kwenye hayo masharti ya mutah
Ipo ndoa ya mkataba wewe dhehebu gani dada? Sunni na ibadhi wana mushkel nayo ila shia wanaitumia sana
Hiyo ndoa inaitwa mut'ah
Wewe una uhakika gani kama ni mtoto halaliMtoto wa zinaa ni mtoto wa mama.so msela wangu Nasibu abdul bado ana mtoto...izo mbwembwe zote ila ajue hana mtoto.aiseeeh ni hasara kwelikweli...
kweli mutahIpo ndoa ya mkataba wewe dhehebu gani dada? Sunni na ibadhi wana mushkel nayo ila shia wanaitumia sana
Hiyo ndoa inaitwa mut'ah