Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Shukran Sana kwa taarifa ashaanza kusikika.huko au n tetesi TU?Yupo efm
Nadhan maslahi amefuata ila IPP mlez wa vipaji wakumbuke kusema Asante pale.wanapotokaAlishahama sijui redio hiyo huwa inachangamoto gani kwa wafanyakazi wake, wakipata jina mjini wanasepa, nasikia anaenda E fm
IPP.......watangazaji wengi wanawatoa Ebony FM.Nadhan maslahi amefuata ila IPP mlez wa vipaji wakumbuke kusema Asante pale.wanapotoka
Hahaha kweli mkuu utawasikiaHee...Kwaiyo Wamebaki Wale Wanaochambua Soka kwa Kubishana bishana .
J pili saa 6 mchana utamsikia akiwa na Omary muyaShukran Sana kwa taarifa ashaanza kusikika.huko au n tetesi TU?
Abisahi nisikilize,sikikiza abisai,,ticha tigana subiri..Hee...Kwaiyo Wamebaki Wale Wanaochambua Soka kwa Kubishana bishana .
Omar majan anajiita kocha wa whatsupWametoa jembe wameleta kale kanakorembua Omar majan nayule Noah mwagos ndo fata mkumbo tu yan kaz yao kubwa n kubishana na utan mwingi kipind mda mchache lakin wako wanajadili udaku tu