Tigana Lukinja (Ticha) Simsikii EA Radio amehama!

Tigana Lukinja (Ticha) Simsikii EA Radio amehama!

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Wakuu naomba mnijuze huyu mchambuzi wa soka ambaye ananikosha Sana anapolidadavua soka yuko wapi kwa Sasa.

N muda Sana simsikii pale East Africa radio na kiukwel nilikuwa mdau Sana wa michezo inapofka saa mbil usiku lakn kwa Sasa simsikii hapo.

Yuko wapi huyu mtu au kahamia radio gani niungane naye huko.

Gentamycin Mayu @
 
Alishahama sijui redio hiyo huwa inachangamoto gani kwa wafanyakazi wake, wakipata jina mjini wanasepa, nasikia anaenda E fm
 
Alishahama sijui redio hiyo huwa inachangamoto gani kwa wafanyakazi wake, wakipata jina mjini wanasepa, nasikia anaenda E fm
Nadhan maslahi amefuata ila IPP mlez wa vipaji wakumbuke kusema Asante pale.wanapotoka
 
Hee...Kwaiyo Wamebaki Wale Wanaochambua Soka kwa Kubishana bishana .
 
Wametoa jembe wameleta kale kanakorembua Omar majan nayule Noah mwagos ndo fata mkumbo tu yan kaz yao kubwa n kubishana na utan mwingi kipind mda mchache lakin wako wanajadili udaku tu
 
Wametoa jembe wameleta kale kanakorembua Omar majan nayule Noah mwagos ndo fata mkumbo tu yan kaz yao kubwa n kubishana na utan mwingi kipind mda mchache lakin wako wanajadili udaku tu
Omar majan anajiita kocha wa whatsup

Hamna kitu mule TIGANA n next level kwakwel
 
Back
Top Bottom