Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Akikabidhiwa tuzo la rais la mcheza golf bora 2019. Mpaka sasa Tiger ni mcheza golf mwenye umri mdogo zaidi kupata tunzo hilo.


Alisindikizwa na Erica girl friend wake, mama yake na watoto wake Sam 12 na Charlie 10.

Mke wa Tigger aliondoka na $100 million kama malipo ya talaka.


Elin ex wife akiwa na mtoto wake wa kwanza kwenye relationship mpya

Jordan Cameron and Elin Nordegren were seen out with their new baby Friday evening
 
Mbona umri wa Sam kama wa Charlie na wa Charlie kama wa Sam
 
Duuuh mkwAnja mrefu hivo aseee me siwezi
 
Hapo unaongea na mahakama sio MKEO.
na hela hautoi mfukoni kumpa.
INAKATWA MOJA KWA MOJA KWENYE ACCOUNT YAKO YA BENKI.
marekani hawana mchezo na sheria.
Kuna mzee amenihadithia maisha ya marekani pamoja na hayo mambo ya talaka.
Unaweza ukalia kama wewe ndo unayetakiwa umlipe mkeo hela.
Duuuh mkwAnja mrefu hivo aseee me siwezi
Aisee tutauana hapo,abaki tu nyumbani alee wanae
 
Kule ni balaa le mutuz alikimbia na pensi tu, kule mahakama haziingiliwi,
 
Nasikia utajri wako mnagawana nusu kwa nusu..... Hivyo wenyewe hawaoni shida sana..... Halafu ni pote pote tu si kwa mume tu hata kwa mke....Hata Adelle yamemtokea haya haya...
 
Mjanja P. Diddy, hakuna ndoa, ni kuwachapa tu. Maana ukimuoa tu, haipiti muda anaanza sokomoko za talaka. Ndoa ni kwa sie maskini, tajiri sio lazima kwani anapata yoyote tu
P Diddy alikuwa na watoto wa4 mama mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…