Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

Alipata msukosuko sana kufikia hatua ya kutoka kwenye ile mwanamichezo anaepokea hela ndefu kuliko wote duniani, kipindi kile alijaribu kuomba msamaha wife akachomoa mwanaume mzima chozi zilikua zinamtoka ingekua huku kwetu pressure na sukari achilia mbali stroke ilikua inamuhusu
 
Kwaiyo Uyo mwanamke shida yake ilkua hela@Nukta5,
 
Ulaya na Marekani masuala ya ndoa yanatesa sana, mwanamke ana lindwa kweli kweli anakuwa kama Mungu mtu, mkiachana inabidi umtunze na watoto wake kila mwezi na nyumba unawaachia, unakuwa mtumwa wake.
 
Nukta5,

Mi nasema hiviii, wanaumeeeeee.....

Mkikutana na mwanamke mtulivu, msikivu kiasi, anakuoenda walau asilimia 80, amejitoa kwako 80/100....

Mheshimu, na kama wewe ni superstar namna ya Tiger wood angalia namna unachepuka ili mkeo asijue. Ukiona unatoa chozi kumridhia mwanamke na anakataa katukatu ujue uliuchefua moyo wake mnooo na anamajeraha yako kedekede kiasi unavomsemesha anaona unamtomesha tuu...

Well, nobody in this world so called earth is perfect.

Mahaba Matata.
 
Pacha wa Elin ni mwanasheria na ofisi yao iliyoko London ndiyo ilisimamia talaka ya Elin na Tiger.

Elin amejenga nyumba kando ya bahari Miami na ana kajioneneo kake ka ufukwe.
 
Pacha wa Elin ni mwanasheria na ofisi yao iliyoko London ndiyo ilisimamia talaka ya Elin na Tiger.

Elin amejenga nyumba kando ya bahari Miami na ana kajioneneo kake ka ufukwe.


Saa ingine wanadamu tunajifariji na pride or what we are capable of, but what we really need is people, love and peace... happiness is a self service menu everyone takes to his/ her satisfaction or needs and nobody in this world will serve one happiness.
 
Duuuh mkwAnja mrefu hivo aseee me siwezi

kuna divorce ingine juzii juzi apa ya tajiri wa kwanza duniani JEFF BEZOES:
mke aliondoka na $35.8billion ,

  • MacKenzie is now the 24th richest person in the world and the 3rd richest woman
kutoka na divorce peke yake ingawa kihalali alitakiwa aondoke na $60B

unaweza kuisoma zaidi hapa: Jeff Bezos settles his divorce with wife MacKenzie
 
Nasikia utajri wako mnagawana nusu kwa nusu..... Hivyo wenyewe hawaoni shida sana..... Halafu ni pote pote tu si kwa mume tu hata kwa mke....Hata Adelle yamemtokea haya haya...
Adelle ilikuaje ndugu yangu!
 
Adelle ilikuaje ndugu yangu!
Aliomba talaka kutoka kwa mumewe...ndo hivyo kutokana na sheria za huko inabidi mgawane net worth nusu kwa nusu....hivyo ikafaa amlipe mumewe $150M!!.....Hata yule Dada wa Michael Jackson, Janet Jackson alipotalakiana na yule bilionea wa kiarabu alilipwa $500M!!!!!...
 
Back
Top Bottom