Tena wa kutosha,alafu usikute ngedere mm nikabeba mzigo kibwege tu🤔👍Bwana mpya ana mpunga wake pia
Jordan Cameroon has an estimated net worth of $ 7 million
Issue siyo kumpa hela bali kujua anazitumbua na Bwana wake mpya. O.J alishindwa kuvumilia.
Hapana jamaa alicheat mke akaenda kumshtaki na kuomba talakaKwaiyo Uyo mwanamke shida yake ilkua hela
Bilion 400 zipo ndani na warembo wanakatiza tuu nisichepuke ?? Sema sheria ni za kisenge sanaHapana jamaa alicheat mke akaenda kumshtaki na kuomba talaka
Pacha wa Elin ni mwanasheria na ofisi yao iliyoko London ndiyo ilisimamia talaka ya Elin na Tiger.
Elin amejenga nyumba kando ya bahari Miami na ana kajioneneo kake ka ufukwe.
Duuuh mkwAnja mrefu hivo aseee me siwezi
Hahahaha..hiyo si chenji tu.Jordan Cameroon has an estimated net worth of $ 7 million
Nani kasema matumizi yake yananihusu au pesa zake ni zangu? Acha blah blahMatumizi yake hayakuhusu.
Maana ni hela zake sio zako tena.
Adelle ilikuaje ndugu yangu!Nasikia utajri wako mnagawana nusu kwa nusu..... Hivyo wenyewe hawaoni shida sana..... Halafu ni pote pote tu si kwa mume tu hata kwa mke....Hata Adelle yamemtokea haya haya...
Aliomba talaka kutoka kwa mumewe...ndo hivyo kutokana na sheria za huko inabidi mgawane net worth nusu kwa nusu....hivyo ikafaa amlipe mumewe $150M!!.....Hata yule Dada wa Michael Jackson, Janet Jackson alipotalakiana na yule bilionea wa kiarabu alilipwa $500M!!!!!...Adelle ilikuaje ndugu yangu!