Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

Wenzetu kugawana mbao ni kawaida sana sana...
Hongera Tiger Woods...
 
Swali hapa ni kwa nn Adelle alipe na sio mume wake
 
Mkuu Roberto! Yaan Adelle muomba talaka anaweza je kumlipa mume wake
 
Swali hapa ni kwa nn Adelle alipe na sio mume wake
Si ana utajiri mkubwa kuliko mumewe....nadhani thamani ya jumla ya mali zenu ndo hugawanywa nusu kwa nusu....... Hivyo kwa yule aliyekuwa na kiasi kikubwa itabidi amlipe mwenzie
 
Mkuu Roberto! Yaan Adelle muomba talaka anaweza je kumlipa mume wake
yaani ishu ipo hivi, mnagawana mali zenu zote kwa pamoja nusu kwa nusu, adelle alikuwa na mpunga mwingi kuliko mumewe, so yeye ndiye aliemfidia/lipa mumewe ili wa-equalize
 
Walimpukutisha kila kitu?. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Wakamuachia kibamia tu?
Amshukuru mchizi wake alikuwa na corolla akampeleka airport
 
Si ana utajiri mkubwa kuliko mumewe....nadhani thamani ya jumla ya mali zenu ndo hugawanywa nusu kwa nusu....... Hivyo kwa yule aliyekuwa na kiasi kikubwa itabidi amlipe mwenzie
Adelle alilipa kwakuwa yeye ndiye aliyetaka waachane na mumewe hakuwa akimtesa
 
Sipati picha Trump akikinukisha Melanie atakavyozibeba.
 
Kumbe walishawchana?

Jamani Yule dada hadi alibadili dini yeye na kaka yake Mareh Michael
 
Sielewagi kwanini wale watu kwenye zile nchi wanaoa
 
Hajakoma kuoa wazungu ngoja na huyo achukue chake
 
Yaani huyu demu kalamba dola milioni mia moja, ukifuatilia historia yake Tiger Woods kakutana nae akiwa anafanyakazi ya ubeki tatu. Ndio hapo sasa ujue maisha ni songombingo.
 
Kuna ndoa zenye upendo na nidhamu kama ya Denzel Washington
Na yule mwengine ll cool j rapper. Ingawa mwanzo na yeye na yule mwanamke hakuwa ya straight forward. Ila baadae alikuja kutulia. Ndio maana wenzetu wanafanya pre nup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…