Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

Ndomana jamaa anazeeka kwa kasi na msione anatabasamu mkajua ana furaha...

mwanamke kaondoka na dol100 million ambazo kiasi kikubwa kachuma jamaa peke yake...

mimi hili suala haliniingii akilini kabisa
 
P Diddy alikuwa na watoto wa4 mama mmoja.
Hakuoa lakini japo alimpenda sana ila ndoa haikuwepo.. kuna kitu nimegundua mwanamke hata akikupenda vp ukishamuonyesha udhaifu basi yuko tayari kuachana naww ili apate faida flani kwani anaamini atapata mwingine tena... put a woman in her place and always watch her.. if you mis out even for a second the concequences of your actions will leave a mark of a lifetime..

kutokana na mambo ambayo nimeyaona kwa watu mbali mbali.. nimethibitisha ndoa ni Gereza la wanaume
 
Amekushika kisheria na mahakama za huko hazitiwi mfukoni kama Vumba Republic
Hii imenikumbusha ile kitu inaitwa mavumba mkoa fulani. Huko kwa wenzetu hawakuangalii usoni, inabidi ujibu tu masaibu yako.
 
Ndomana jamaa anazeeka kwa kasi na msione anatabasamu mkajua ana furaha...

mwanamke kaondoka na dol100 million ambazo kiasi kikubwa kachuma jamaa peke yake...

mimi hili suala haliniingii akilini kabisa


Ndio hapo sasa, na demu wenyewe alikuwa beki tatu tu. Hizi sheria nyingine hizi we acha tu.
 
True

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…