Tigo acheni utapeli

Tigo acheni utapeli

CHOMA

Senior Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
118
Reaction score
9
Naomba Mamlaka zinazohusika zifuatilie tabia ya Kampuni hii na nyinginezo ya kuendelea kukata malipo ya ku download muziki mfululizo kana kwamba maombi hayo ni ya kudumu. Huu ni wizi wa hadharani.Mtindo wa kujipatia pesa kwa njia ya vigezo na masharti ya ulaghai ni kosa la jinai.Kampuni hizi zinajua wazi kuwa mteja wao sio rahisi kwenda kuwataka wasimamishe makato hayo na hata kwa wanaokwenda kuomba makato hayo yasimamishwe inakuwa ni tafrani sana mpaka wakukubalie.
 
Back
Top Bottom