Tigo Acheni Wizi, Mnakata Shs45 kila siku Unreasonably

hiyo ni kwa mitandao yote mkuu. salio unaloliacha sio hilo utakalolikuta kesho yake asubuhi. airtel nadhan ndo hawaibi.

mmmmmmmmmmh

Mi naweka hela zangu kwenye M-pesa nachomoa kulingana na ninachokihitaji.. Then najiunga na ninachotaka kwenye Salio langu hutokuta zaidi ya Tsh 0.

Kwahiyo kuibiwa kwangu ni hamna
 
mmmmmmmmmmh

Mi naweka hela zangu kwenye M-pesa nachomoa kulingana na ninachokihitaji.. Then najiunga na ninachotaka kwenye Salio langu hutokuta zaidi ya Tsh 0.

Kwahiyo kuibiwa kwangu ni hamna

Mkuu huwezi kujiunga na mfano checka ya 400/- wakati salio lako ni sh 400/-. vivyo hivyo kwa 200,300,350 etc.

Lazima uweke angalau zaidi ya sh 50/- ili waile baada ya kujiunga.
 
mimi huwa nafanya hivi, nakopa hela then najiunga extreme means napata sms 250, talk time na internet. then ile time ikiexpire natumia tigo pesa yangu kuweka voucher ya 500 ambapo ntalipa 495. afu nakopa tena. siruhusu kubaki hela kwenye salio langu manake mitandao yote ni wezi na hujui wanakata saa ngap na kwann
 
Mi kwenye simu yangu ya tigo sisumbuki kuweka salio nanunua Extreme kwenye tigo pesa ikiisha nanunua tena. Salio linabaki lile lile shs 0.22, wakome nalo kama wanaweza kukata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…