Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Nimeona clip insta aiseee wametishaaaa mawingu n mawingu tuKumbe hukuwepo? Umeona picha then unaanzisha Uzi Wa namna hii? Acha roho mbaya aiseee
Wape moyo vijana wenzako hata baada ya kupata pigo la master mind wao ila wamefanya kitu kikubwa Sana usiku wa kuamkia leo
Mtoa mada ana matongo tongo usoni.Mbona nimeona video ilikuwa safi kuliko wasafi
mbona umepanic bi shosti? hasira za nini sasaKumbe hukuwepo? Umeona picha then unaanzisha Uzi Wa namna hii? Acha roho mbaya aiseee
Wape moyo vijana wenzako hata baada ya kupata pigo la master mind wao ila wamefanya kitu kikubwa Sana usiku wa kuamkia leo
mbona umepanic bi shosti? hasira za nini sasa
unajuwa tuko vizuri katika studio music ila ni ukweli na tuweke ushabiki pembeni ikija katika suala la live music kuna shida kubwa sana unaweza kujiuliza ndio huyu aliyeimba. Halafu soko linalenga baadhi ya jamii maana sio kila mtu anaweza kwenda sehemu unasimama tu halafu kusukumana mara mikono juu mara kulia kushoto kuna watu wa enjoy hivyo ila ubunifu wa kuja na show classic unapigwa live mnakaa, mnacheza kwa nafasi hakuna hayo.Watu kama hawana habari sana na muziki ata wasafi yenyew imepoa sana sio kama mwaka jana
Ulikuepo au umesikia tu stor za JFWashapotea hao[emoji3]
Acha ujinga bintiWashapotea hao[emoji3]