Tigo Fiesta 2019 imekua ya kawaida saaana

Tigo Fiesta 2019 imekua ya kawaida saaana

Mbona show ilikuwa kali tu na ilikuwa hot kinyama,sema roho ya kichawi inakunyemelea kwa kasi sana.
 
unajuwa tuko vizuri katika studio music ila ni ukweli na tuweke ushabiki pembeni ikija katika suala la live music kuna shida kubwa sana unaweza kujiuliza ndio huyu aliyeimba. Halafu soko linalenga baadhi ya jamii maana sio kila mtu anaweza kwenda sehemu unasimama tu halafu kusukumana mara mikono juu mara kulia kushoto kuna watu wa enjoy hivyo ila ubunifu wa kuja na show classic unapigwa live mnakaa, mnacheza kwa nafasi hakuna hayo.
Kwani ulaya na marekani hakuna show za uwanjani ambapo watu wanasimama muda wote? Wakisema waweke show zao sehemu classic unazozitaka we na kiingilio ikaqa laki 1 je ni watu wangapi wanaweza kuafford? Mbona kwenye hivyo viwanja kuna majukwaa na unaweza kukaa ukatazama show bila kusukumana na MTU?
 
Kwani leo ni Tigo fiesta au Mkesha wa Uhuru.
RIP Ruge
 
Napita pita mitandaoni asubuh hii naona picha za uzinduzi wa tigo fiesta Mwanza,kiukweli haishtui hata kidogo halaf haina mzuka hata wa kuwa curious kilichojiri huko,je kwamba Watanzania tumeshazoea haya matamasha au watu washawachoka wasanii wetu?
Yaani kisa wewe Huna mzuka au kuwa curious or whatever the hell your mood is. Basi unajumuisha watanzania wote......[emoji848][emoji848]Crack head
 
Oya vip wakuu , Tigo fiesta imefunga kaz Dsm , lakn naona humu kimya Sana , vipi ilifana au ilifanwa? Tupeni taarifa bas tulioko ngw'ang'omango na Sisi tujue yaliyojir huko..au walinyeshewa mvua
 
Boss wao kwenye kipindi cha bartender kasema fiesta haijawai kupata faida.
 
Back
Top Bottom