Tigo fiesta arusha ya kwanza ROMA NA STAMINA KULIAMUSHA DUDE

Tigo fiesta arusha ya kwanza ROMA NA STAMINA KULIAMUSHA DUDE

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana

Ile show kubwa kuliko inayojulikana kama tigo fiesta mbion kuanza kuwashwa mara baada ya miaka miwili iliyopita kutofanyika

Kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu itaanza kuwashwa arusha ambapo wasanii kibao wakali watakinukisha na watatisha kuliko, katika wasanii watakao kiwasha ni ROMA MKATOLIK WA VATIKAN PAMOJA NA STAMINA WA MORO KASORO roma ataamusha dude na ngoma yake mpya ya zimbabwe ataipafom jukwaan kwa mara ya kwanza
HIVI%2BVILE.jpeg

Wasanii wengine watakaopanda stegin ni
VANESA JUX WEUS NGOSHA RICHAD MAVOKO COYO SAIDA KAROL NA WENGINE WENG kama stereo na ney wa mitego

show itakuwa kali ya kuotea mbali kama zile ambazo hufanyika mwanza kwa udhamin wa jembe na shigongo na dialo

Wasanini ni wengi sana
Edu boy, young kiler, ben paul

Cc baby mbitiyaza

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No! Hajakurupuka,ni kweli kuwa show za fiesta zilisimamishwa kufanyika arusha,japo huko kwingine zilikuwa zikifanyika kama kawaida!

lakini last year ata arusha ilifanyika. nadhani yy alikua anataka kusema fiesta haikufanyika 2015 kupisha uchaguzi.
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana

Ile show kubwa kuliko inayojulikana kama tigo fiesta mbion kuanza kuwashwa mara baada ya miaka miwili iliyopita kutofanyika

Kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu itaanza kuwashwa arusha ambapo wasanii kibao wakali watakinukisha na watatisha kuliko, katika wasanii watakao kiwasha ni ROMA MKATOLIK WA VATIKAN PAMOJA NA STAMINA WA MORO KASORO roma ataamusha dude na ngoma yake mpya ya zimbabwe ataipafom jukwaan kwa mara ya kwanza View attachment 575964

Wasanii wengine watakaopanda stegin ni
VANESA JUX WEUS NGOSHA RICHAD MAVOKO COYO SAIDA KAROL NA WENGINE WENG kama stereo na ney wa mitego

show itakuwa kali ya kuotea mbali kama zile ambazo hufanyika mwanza kwa udhamin wa jembe na shigongo na dialo

Wasanini ni wengi sana
Edu boy, young kiler, ben paul

Cc baby mbitiyaza
kuliamusha ndo nini?

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom