Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Alitaka alale au.Kiba alikuwa anagoma kupata kwa stage nasikia
Kwa anachofanya sasa naona ilibidi apande wa kwanza kabisaKiba alikuwa anagoma kupata kwa stage nasikia
Kalale Usijichoshe Kama Hufurahii, Waachie Wenyewe WaliozoeaLicha ya promo kuuuubwaaaa na kelele kibaaaoooo......but niko live hapa kwenye Fiesta, mpk muda huu sijaona kikubwa cha kutisha kilichofanywa,show zimepoa hakuna amsha amsha zile tulizozoea....KWA KWELI HAMNA JIPYA!! Hayo ni Maoni yangu!!
Kalale Usijichoshe Kama Hufurahii, Waachie Wenyewe Waliozoea ITAPENDEZA ZAIDILicha ya promo kuuuubwaaaa na kelele kibaaaoooo......but niko live hapa kwenye Fiesta, mpk muda huu sijaona kikubwa cha kutisha kilichofanywa,show zimepoa hakuna amsha amsha zile tulizozoea....KWA KWELI HAMNA JIPYA!! Hayo ni Maoni yangu!!

Mond Ana nini cha ajabu sasa?Wakubali wakatae uwepo wa msanii mkubwa kutoka nje unaletaga hamasa sana,hawa local artist labda Mond tu ndo angeleta Mzuka....hawa wengine hamna kitu...
we una mawazo mazuri..vitu vya kijumuiya sishiriki miyeHihihiii... waandaaji washapiga mpunga wao wewe hata usipoona la maana haisaidii.. Mi hua siendi matukio kama haya. Bora ninywe bia nijue nimeingiza kitu kipya tumboni..
Watakuwa wamejifunza kwamba wajinga ndio waliwao.Wao hawajali maana washaingiza hela Yao
Poleni mliokwenda ........by the way hebu tuambieni mmejifunza nini huko
Ova