Dogo janja na kelele zake "Daresalaaaaaaaaaaam "Kiukweli Fiesta wamezingua sana tena sana, hakukua na chochote zaidi ya kelele, tukubali tu kua kuna wasanii wa live band na matamasha yao, sio kila msanii anaweza/anapendeza kupiga live band na sio kila tamasha ni la kupiga live band.... wanapaswa wajitafakari upya na kufuta makosa yao, kuiga iga sio kuzuri, vyombo vibovu, back vocal wabovu au sijui walichoka maskin ya Mungu wangekua hata wanawabadilisha.
KIUFUPI CLOUDS MEDIA MMEZINGUA MNAPASWA KUBADILIKA NEXT YEAR Mungu akipenda.
Lol, uzuri hata sijaenda uwiiii kwenye msongamano kama huo si nitakufa mimi.Dogo janja na kelele zake "Daresalaaaaaaaaaaam "
Hahahaha poleni kwa kuibiwa
Wananikera na hiyo Dar es salaaaaaaaaaam!! Wanachofanya ni hakieeleweki basi tabu tu.Dogo janja na kelele zake "Daresalaaaaaaaaaaam "
Hahahaha poleni kwa kuibiwa
...maamae!Lol, uzuri hata sijaenda uwiiii kwenye msongamano kama huo si nitakufa mimi.
...maamae!
..kumbe hata hujaenda,sasa kipele kinakuwashia nini.
.ule msongamano uliona nyenyere wale.?...kwahiyo wooote wale hawana akili,
....ila wewe tu funzajike mmoja!
...kasengeju hako!Mkuu mbona umekuwa mkali hivi?
Hahahaha najua ni hasira za ulichotegemea ukakikosa ila don worry next time watajirekebisha usipanic Dada. lol...maamae!
..kumbe hata hujaenda,sasa kipele kinakuwashia nini.
.ule msongamano uliona nyenyere wale.?...kwahiyo wooote wale hawana akili,
....ila wewe tu funzajike mmoja!
Achana nae, hasira tu za kusimama bure jana.Mkuu mbona umekuwa mkali hivi?
Lol, ukiangalia hela ulikopa nguo uliazima matokeo yake umeambulia kuzibwa masikio.... [emoji23][emoji23][emoji23]...kasengeju hako!
..kasome gazeti lake la kuponda.,afu kumbe kako Nyaminywili huko
...kione hiki kiazi!Lol, ukiangalia hela ulikopa nguo uliazima matokeo yake umeambulia kuzibwa masikio.... [emoji23][emoji23][emoji23]