Tigo fiesta Dar:Mpaka sasa sijaona jipya la kushtua.

Tigo fiesta Dar:Mpaka sasa sijaona jipya la kushtua.

Kiukweli Fiesta wamezingua sana tena sana, hakukua na chochote zaidi ya kelele, tukubali tu kua kuna wasanii wa live band na matamasha yao, sio kila msanii anaweza/anapendeza kupiga live band na sio kila tamasha ni la kupiga live band.... wanapaswa wajitafakari upya na kufuta makosa yao, kuiga iga sio kuzuri, vyombo vibovu, back vocal wabovu au sijui walichoka maskin ya Mungu wangekua hata wanawabadilisha.

KIUFUPI CLOUDS MEDIA MMEZINGUA MNAPASWA KUBADILIKA NEXT YEAR Mungu akipenda.
 
Dogo janja na kelele zake "Daresalaaaaaaaaaaam "

Hahahaha poleni kwa kuibiwa
 
daah bora pesa yangu nimekwenda kuvutia bangi, kwa sasa stimu kibao kichwani kama nipo Jamaica.. ooh pesa yangu haijapotea.. Asante Mungu!!!!!!!!!!!😱😱😱
 
Fiesta ya safari hii waliona bila komedi jukwaani isingeenda, ikafikia kipindi wasanii wakaona waanze kuleta maigizo jukwaani angalau watu wafurahi kidogo, mana kuimba kulishawashinda.
 
Lol, uzuri hata sijaenda uwiiii kwenye msongamano kama huo si nitakufa mimi.
...maamae!
..kumbe hata hujaenda,sasa kipele kinakuwashia nini.
.ule msongamano uliona nyenyere wale.?...kwahiyo wooote wale hawana akili,
....ila wewe tu funzajike mmoja!
 
...maamae!
..kumbe hata hujaenda,sasa kipele kinakuwashia nini.
.ule msongamano uliona nyenyere wale.?...kwahiyo wooote wale hawana akili,
....ila wewe tu funzajike mmoja!
Hahahaha najua ni hasira za ulichotegemea ukakikosa ila don worry next time watajirekebisha usipanic Dada. lol
 
...kasengeju hako!
..kasome gazeti lake la kuponda.,afu kumbe kako Nyaminywili huko
Lol, ukiangalia hela ulikopa nguo uliazima matokeo yake umeambulia kuzibwa masikio.... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu mzima unaenda fiesta? Huko wanaenda vijana wa secondary na wanachuo wajinga wajinga.....
 
Back
Top Bottom